Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Yapo mengi mkuu. Barabara nyingi kajenga, kanunua ndege nane na kaweka msingi wa manunuzi ya ndege nyingine.
Chief barabara ipi jamaa kajenga? Nitajie hata 2 tu (Siyo za JK), kwenye ndege anastahili sifa, Kwa sasa jina letu linapaa kila sehemu kupitia hizi ndege!
 
Jitoe wewe mfuasi wake watanzania tuliobaki tunashukuru Mungu utawala wa Haki na Sheria umerejea tena.
Na mwamba anarejea uraiani soon, ila akirudi asianze mikwara yake ya kumtisha Samia hahaha...
 
Nini hatima ya ile miradi ya chato?
 
Chief barabara ipi jamaa kajenga? Nitajie hata 2 tu (Siyo za JK), kwenye ndege anastahili sifa, Kwa sasa jina letu linapaa kila sehemu kupitia hizi ndege!
Mkuu unaota au umeshaamka?. Interchange ya ubungo na ile ya tazara, barabara ya bagamoyo kutokea tegeta mpaka bagamoyo. Huko bara ni nyingi mno mpaka hazina idadi.
 
Asante Mungu kwa kutuondolea rais katili, muuaji, mjinga, kichaa, mbinafsi na mpenda misifa. Tunakuomba utupushe kuwa na kiongozi mnafiki anayejifanya mchamungu mchana ila usiku ni shetani mkuu, amen
 
Alikuambia kuwa Wewe utaishi Milele?
π‘·π’‚π’Žπ’π’‹π’‚ 𝒏𝒂 π’Œπ’–π’˜π’‚ π’˜π’π’•π’† π’•π’–π’•π’‚π’Œπ’–π’‡π’‚,π’π’‚π’Œπ’Šπ’π’Š π’šπ’–π’π’† π’ƒπ’˜π’‚π’π’‚,π’Œπ’–π’‡π’‚ π’Œπ’˜π’‚π’Œπ’† π’Šπ’Žπ’†π’Œπ’–π’˜π’‚ π’π’Š π’‡π’‚π’Šπ’…π’‚ π’Œπ’˜π’‚ π’π’„π’‰π’Š π’šπ’†π’•π’–! π‘΄π’–π’”π’Šπ’ƒπ’‚ π’‚π’π’Šπ’”π’‰π’‚π’•π’‚π’Žπ’ƒπ’‚ π’Œπ’–π’˜π’‚ π’‰π’‚π’Œπ’–π’π’‚ π‘΄π’‚π’‰π’‚π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π’š π’Œπ’–π’Žπ’‡π’–π’π’ˆπ’‚ π’Œπ’˜π’†π’π’šπ’† π‘΅π’„π’‰π’Š π’‰π’Šπ’Š!
π‘±π’Šπ’˜π’† π’Œπ’‚π’π’π’…π’π’Œπ’‚,π’˜π’‚π’π’† π’Žπ’Šπ’–π’π’ˆπ’– π’Žπ’•π’– π’˜π’π’π’•π’†,π’Žπ’‚π’•π’–π’Žπ’ƒπ’ π’Žπ’π’•π’!
 
Mkuu unaota au umeshaamka?. Interchange ya ubungo na ile ya tazara, barabara ya bagamoyo kutokea tegeta mpaka bagamoyo. Huko bara ni nyingi mno mpaka hazina idadi.
Interchange ilikuwa ya Kikwete, na hela ilishatoka ikabidi ajibaraguze humohumo, na hiyo barabara ilikuwa ya Kikwete pia, Taja mradi ambao aliuanzisha na ukaisha ndani ya miaka mi5 yake ya kwanza....
 
Chief barabara ipi jamaa kajenga? Nitajie hata 2 tu (Siyo za JK), kwenye ndege anastahili sifa, Kwa sasa jina letu linapaa kila sehemu kupitia hizi ndege!
Majizi siku zote huwa hayampendi aliyekuwa Jemedari wetu, Rais wetu kipenzi, mheshimiwa dk John Pombe Joseph Magufuli.
 
Pole mkuu
 
Toka afariki umeiba kiasi gani?
 
Kutaka kujua jamaa yako alikuwa wa hovyo ni hii video.... And watu kama hawa akawa anawapandisha vyeo, asingekufa leo hii huyu angekuwa DC wa Ilala
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…