Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Haya majibu wa nayo wakazi wa Kimara,Walio ajiliwa na vyeti vya darasa la saba,wafanya kwzi wa umma ambao wana jua maana ya madaraja
Kama ambavyo sasa hivi wamachinga walivyo na hayo majibu.
 
Kwangu mimi JPM JPM alikuwa rais muuaji, mwenye chuki kali sana kwa wanamkosoa na kumpinga, mbinafsi aliyepitiliza kiwango cha kawaida na mungu mtu aliyependa kusujudiwa mpaka na nzi. MUNGU AMEWATENDEA HAKI WATANZANIA.
Hivi mungu anaipendea nini hii ccm ameiacha hadi leo?
 
Naunga mkono 100%
 
Kuna mambo tukiyatazama tunaju akabisa kweli watanzania hatujui tunataka nini, hatujui tunamtaka nani, aje kufanya nini, na kwanini, yani tuna macho lakini yanasiki, tunamasiki lakini yanaona, tuna mdomo lakini unanusa na tuna pua ambyo ndio inayokula, alotuloga bila shaka alikufa na ukimwi kama siyo kimeta.
 
Na bado hujalia siku ukipata mtu wa karibu nae akakusimilia kifo chake, utaenda chato mwenyewe kuona hata kaburi yake.

Siumii kwa nini amekufa maana kila mtu ataonja kaburi, kinachoniuma ni yale mazingira alokufa.
Umenitoa machozi Mkuu.
Mungu atakuja laani kizazi chetu.
 
Kweli ni mkombozi hasa maana mpaka dunia itaisha hatutosikia tena mtu kupigwa risasi 36 na kunyimwa matibabu na kufukuzwa ubunge huyu ndie aliye kua mkombozi wa nchi ambae hapeleki maendeleo kwenye jimbo la wapinzani
Unafikiri Dr Ulimboka ataona alichofanyiwa na Kikwete ni kidogo sana ukilinganisha na Lissu?
 
Ni kweli kabisa mtu kama Kikwete anaweza kuwa ni mtu mzuri sana kwa upinzani ila kwa Dr Ulimboka hali inaweza kuwa tofauti kabisa.
 
Ndugu Gentamycine antibiotiqe popoma wa mapopoma.kwa thread hii ya leo.
Nakupa salute ya heshima ya juu zaidi.
Tulikuwa tunamwelewa JPM Na tutaendelea kuielewa Hadi mifupa yake ni wale pekee tulio naIQ kubwa tu.
Wazalendo na wafia nchi Kama Mimi.
Salute to the true son of Africa,the Great JPM
 
Unamfananisha Idd Amin wa Chato na Mungu?, shwaini kabisa wewe
Habari za kufananisha unazileta wewe na hata sijui zimeingiaje, mi nimesema tu hata Mungu wapo kibao tu wasiompenda na huo ni ukweli na huyo ndio Mungu.
 
Katika mawaziri wake wote,namuona Hussein Mwinyi anafanya kazi kule Zanzibar kama Magufuli.Zanzibar ukizingua tu,anakula kichwa.Hussein arudi bara 2025,huyu Mama hapana.
 
Wapenda maendeleo ya kweli na sio porojo tunaelewa magufuli alikuwa anafanya nini ,wengi tuliamini wacha tuumie kwa muda huu mchache lakini kesho vizazi vijavyo vingeneemeka r.i.p magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…