Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Halafu unakuta mtu Kama wewe eti ni University graduate, yaani Elimu imekufa inatoa vijana mabazazi tupu.
Nchi huimarika kwa sababu ya katiba nzuri siyo kwa sababu ya mtu mmoja, poor reasoning capacity
Ni graduate kabisa, ila jua kuongoza nchi sio lelele mama kama unavyoongoza familiya yako.
 
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Wewe dogo huwa unachelewa sana kujua mbivu na mbichi, inawezekana ubongo wako una load slowly sana
 
Dkt. John Pombe Magufuli ni mtu ambaye bila hata kujiuliza uliza alitaka taifa hili lifike sehemu fulani nzuri.
Alikuwa straight forward, Kama ni A Basi alitaka iwe A, hali kadharika Kama ni B Basi iwe B, siyo haya ya kwamba tumeongeza tozo kwa ajiri ya huduma za elimu na afya mara hapo hapo hii hela ya Covid-19 nayo ipo kwenye elimu na afya!!!

RIP JPM
 
Wa Msoga aliitoka $8B equvalent to 10T kwa exchange rate ya 2005 mpaka 43T kwa miaka 10 alifanya nn cha maana ukiondoa safari za nje anazomrithisha mama sasa?
Na hili deni ukitaka ulipate vzuri liweke ktk USD...huwezi ukalingalisha mtu aliekopa kwa exhange rate ya 1000 na mtu wa exchange rate ya 2300 then useme wa 2300 amekopa zaidi, while kabla hajakopa tu exhange rate ishambana.
Vizuri kijana unaelewa mambo
 
Back
Top Bottom