Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

unaongelea huyo aliyepandisha deni la taifa kutoka trillion 43 mpaka 71 kwa miaka mitano na nusu tu?
senge kweli wewe.
 
Tanzania tunaitaji dictator mzarendo kama magufuli siyo haya mafisadi tuliyo nayo sasa
 
Magufuli alikuwa Ana mapungufu Kama binadamu yeyote ingawa madhara yake kwa namba moja au nyingine yaliiathiri nchi. Ila kwa tuliyenaye tutazidi kurudi nyuma zaidi kwa sababu Hana uwezo.

kwahio mwenye uwezo ni nan sasa
 
Kunywa sumu kabisaaaa.
We ulishobokea maendeleo ya fedha za dhuluma,
Wacha akadhulumu na mashetani huko aliko ndo atamjua vizuri lucipher ni nani
 
unaongelea huyo aliyepandisha deni la taifa kutoka trillion 43 mpaka 71 kwa miaka mitano na nusu tu?
senge kweli wewe.
Wa Msoga aliitoka $8B equvalent to 10T kwa exchange rate ya 2005 mpaka 43T kwa miaka 10 alifanya nn cha maana ukiondoa safari za nje anazomrithisha mama sasa?
Na hili deni ukitaka ulipate vzuri liweke ktk USD...huwezi ukalingalisha mtu aliekopa kwa exhange rate ya 1000 na mtu wa exchange rate ya 2300 then useme wa 2300 amekopa zaidi, while kabla hajakopa tu exhange rate ishambana.
 
Huyu mtoa mada inaonesha anatoka ukanda wa hayatihayatiq
 
Kila goti litapigwa kwake kwa wakati sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…