Wadini sana hao wewe hujuiKatika mawaziri wake wote,namuona Hussein Mwinyi anafanya kazi kule Zanzibar kama Magufuli.Zanzibar ukizingua tu,anakula kichwa.Hussein arudi bara 2025,huyu Mama hapana.
Dk za mwisho aliumia sana mungu amlinde bashiru.Umenitoa machozi Mkuu.
Mungu atakuja laani kizazi chetu.
Ni graduate kabisa, ila jua kuongoza nchi sio lelele mama kama unavyoongoza familiya yako.Halafu unakuta mtu Kama wewe eti ni University graduate, yaani Elimu imekufa inatoa vijana mabazazi tupu.
Nchi huimarika kwa sababu ya katiba nzuri siyo kwa sababu ya mtu mmoja, poor reasoning capacity
Mimi sio mtabiri wa kujua Nani mwenye uwezo, ila naamini wapi wenye sifa ila mfumo wetu wa kupata viongozi no mbovukwahio mwenye uwezo ni nan sasa
Nawaza familiya yake wana hali gani. Alivyokiwa akisema mmuombee lizani anatania yule baba kapita pabovu mno, mara nini mara kile mara atumiwe moshi dahMimi nilivyomuona akiwekwa kwenye ambulance moyo ulikataa kabisa, aendelee kupumzika kwa amani shujaa wa Afrika.
Ile ya moshi ilikuwa ni ishu ya Gari ilichemsha, hakukuwa na kitu kibaya pale. Ila mzee wa watu alikuwa na maadui wengi tu we acha tu rafiki.Nawaza familiya yake wana hali gani. Alivyokiwa akisema mmuombee lizani anatania yule baba kapita pabovu mno, mara nini mara kile mara atumiwe moshi dah
Wewe dogo huwa unachelewa sana kujua mbivu na mbichi, inawezekana ubongo wako una load slowly sanaHayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.
Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.
Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.
Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Mkuu unaweza kutusimulia what happen hizo dk za mwisho?Dk za mwisho aliumia sana mungu amlinde bashiru.
Kila mtu ana mapungufu yake ila taasisi ya urais ni ngumu alijitahidi kwa uwezo wakeSikuwahi kumpenda JPM, lakini honestly ilivyotangazwa usiku ule kuwakafariki machozi yalinitoka, nikakaa nje karibia saa nzima. Niliona kabisa yale magenge ya majambazi serikalini na chamani yayakavyorudi kwa nguvu.
Mkombozi wa. Nini??Tanzania tumeondokewa na Mkombozi.
Hiyo siyo Stockholm syndrome mzee wangu, Magufuli hayuko karibu na aliyesema hayo. Stockholm syndrome inatokana na ukaribu wa victim na huyo aliyem-kidnap.Hii Stockholm Syndrome
Una fall in love na your oppressor!
Mimi sio mtabiri wa kujua Nani mwenye uwezo, ila naamini wapi wenye sifa ila mfumo wetu wa kupata viongozi no mbovu
Vizuri kijana unaelewa mamboWa Msoga aliitoka $8B equvalent to 10T kwa exchange rate ya 2005 mpaka 43T kwa miaka 10 alifanya nn cha maana ukiondoa safari za nje anazomrithisha mama sasa?
Na hili deni ukitaka ulipate vzuri liweke ktk USD...huwezi ukalingalisha mtu aliekopa kwa exhange rate ya 1000 na mtu wa exchange rate ya 2300 then useme wa 2300 amekopa zaidi, while kabla hajakopa tu exhange rate ishambana.
Una mengi ila hutaki kuyasemaNawaza familiya yake wana hali gani. Alivyokiwa akisema mmuombee lizani anatania yule baba kapita pabovu mno, mara nini mara kile mara atumiwe moshi dah
Ata atumegee kidogo tuMkuu unaweza kutusimulia what happen hizo dk za mwisho?
Mh!" mimi napumzika nawaachia nchi yenu" hii nchi yenu. Mungu wangu nipumzishe salama.
Maneno machache ila yanaumiza sana" mimi napumzika nawaachia nchi yenu" hii nchi yenu. Mungu wangu nipumzishe salama.