Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Propaganda zipi? Lisu hakupigwa risasi 38 na dunia nzima ikiona hapo kuna uwongo.nyie watu mna funza Kwenye bongo zenu siyo bure
Vibalaka wote Dunia huuawa. Je hujui Tundu alikuwa ni kibalaka? Unakumbuka JPM alivyokamata makinikia bandalini Tundu alisema nini?
 
Anakusikia????
 
Sasa kama magufuli na samia wanatekeleza ilani moja ni kipi kinachowafanya muone marehemu alifanya kazi kubwa kumzidi samia? Muachage unafiki watanzania
Unafiki wanao baadhi yetu, hao wakisoma watakuja kukujibu kadri wanavyoona inafaa.
 
Sasa kama magufuli na samia wanatekeleza ilani moja ni kipi kinachowafanya muone marehemu alifanya kazi kubwa kumzidi samia? Muachage unafiki watanzania
Unakosea na mnakosea sana kulinganisha. Miezi sita na miaka mitano ya solid work, mnakosea kulinganisha.

Maono, mipango, utekelazaji, kasi, seriousness, kujiamini bado sana kuanza kulinganisha.

Samia hawezi kuwa zaidi ya Magufuli kwenye style ya Magufuli. (Magufulism)

Samia inabidi awe na style yake tofauti na Magufuli.

Anaweza kuja na style yake akawa vizuri (Samiaism) kuliko yoyote. Hadi sasa bado hajaiweka wazi.
 
Mimi nipo siku nyingi hapa, tulipiga sana kelele kwamba nchi hii inahitaji raisi Dikteta na kwamba JK alikuwa raisi dhaifu.

Kilichonishangaza ni pale nilipomsikia JK alisema "nimewaletea chuma hicho", unafiki wa kiwango cha juu.

Nafikiri JK alifikiri ataweza kuki-control Chuma. Lakini chuma kama chuma kikaenda kwenye asili yake ya chuma.
 
Binafsi nimeipenda style ya samia. Kwanza Ndani ya miezi 6 katoa ajira kwa watanzania zaidi ya elfu 7000 hii itachochea uchumi, ameanzisha ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia nne 400 unaendelea nchi nzima, anaendeleza miradi iliyoachwa na mtangulizi wake haijasimama ,ule wa SGR isaka mwanza ameuanzisha yeye, Juzijuzi ametangaza ujenzi wa madarasa elfu 15000 kwangu mimi hii ni hatua kubwa sana kwa miezi 6 sijui miaka mitano atafanya nini. la zaidi nchi ina amani na utulivu ingawa kuna kasoro ndogondogo. Huyu mama namkubali ingawa CCM siipendi
 
Ni kweli hakuna ushahidi kwamba Maraisi wa Haiti, Tanzania, Ivory’s Coast, Eswantini, and Burundi waliuwawa kwa kukataa chanjo za COVID-19.

Marais wangapi duniani wamekufa kipindi hicho kifupi?

Ila wote waliokufa walikataa chanjo.
 

Kuna mtu alianzisha hivyo vitu vyote unavyosema kwa usongo na dhamira ya dhati na kwa kasi kubwa sana kuwasaidia na kuwainua Watanzania wengi.

Ni maono yake, ndoto zake, mipango yake thabiti Samia anajaribu kuitekeleza.

Ila unaruhusiwa kumtukana kama kawa, mnaiita demokrasia.
 
MKUU. Kama Taifa lingejua kwamba Ndugu Magufuli Angelala bila kumaliza muda wake basi tungepindua Meza kwa Maombi lakini tulifichwa mpaka mauti inamkumba mpendwa wetu.

Nikweli ile roho ya uzalendo na uchapa Kazi aliyoijenga Magufuli imeondoka kabisa. Mambo yamekua Yale Yale, Uzembe umerudi kwa kasi yakutisha kabisa.


Mama anajitahidi kujitutumua lakini anazidiwa ujanja na michwa Ambayo ilizibwa pumzi kabisa na Magufuli.


Mbaya zaidi ni mama kupangua safu ya Magufuli Ambayo Angeitumia ingemsaidia sana kuongoza maana tayari safu ile ilikua imesha jua namna nzuri ya kupambana na majangili na wazembe kwenye SERIKALI.
 
Je kama na yeye alikuwa ni msuka mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…