Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Mkuu ndiyo nini sasa hii?? Loool!! so sad!!! Yaani nyie jamii ya wanachato mmechanganyikiwa!! baada ya kukosa ndege za kutua hapo air port kwenu....msilazimishe...chezeeni mpira tu.. mpoteze mawazo...
 
Itatuchukua muda mrefu kupata kiongozi kama Magufuli.
Ni kweli kabisa hamtapata Rais km yule mnafiki.. mwongo...aliiponda serikali ya Boss mtangulizi wake!! Wkt walikaa meza moja wakishauliana....jinsi ya kula keki ya taifa...then akawageuka kinafiki utadhania katoka chama la upinzani....Mungu akamsuta na akamuuliza si "wewe ulikuwa miongoni mwao? Tubu?"" akakataa ndo hayo sasa...mie nawashauri tu wanaompenda si na wao wafe? Baaas ndo dawa?? Zaidi wanatuwekea giza na huo mzogs wa kale!! Kwanza hata hii jf hakuitaka....hivi boss wa jf aliomboleza kweli eb weka picha nione alivoenda chato!!! Nicheke kidogo.....
 
Hayati alikua jembe
Jembe hasa katika uongo! Yaani Rais anakuwa muongo hadi raia ndio mnaona aibu?
Eti serikali ina hela hadi inatakiwa iwe Donner country kumbe inanuka mikopo ya mabenki ya biashara nje hakuna mfano?
Katika maneno 10 ayasemayo ya kuamini hayakuzidi matatu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa na njozi njema za kuiona TZ inakuwaje kesho hakua na politics of blabla na ndiyo maana aLipata watu wa kumuamini.ataendelea mwingine
 
Jembe hasa katika uongo! Yaani Rais anakuwa muongo hadi raia ndio mnaona aibu?
Eti serikali ina hela hadi inatakiwa iwe Donner country kumbe inanuka mikopo ya mabenki ya biashara nje hakuna mfano?
Katika maneno 10 ayasemayo ya kuamini hayakuzidi matatu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Una shida wewe akili Yako mbovu
 
Back
Top Bottom