Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Nimeshuhudia na kulizika sana na Projects za Dj Khaled...mala zote alitengeneza Album kali ambazo zilifika kwenye charts za juu za Billboard.
Zikafanya vizuri sana kwenye mauzo. amekuwa akishirikiana na wasanii wenye majina makubwa sana ambao walizivusha sana Projects zake DJ Khaled...
Kuna muda hatujui ipi kali zaidi je ni Hold you down au Do u Mind. achana na Am the one au I got a key. jamaa anahits kibao licha ya kutokuimba.
Ni makubaliano na malipo mazuri baina yake na wasanii kwenye projects zake. Alafu ngoma zinakuwa kwenye himaya yake hata tuzo zikibeba ni kwake bwana Dj. Point yangu nini? Nimeshuhudia ngoma nyingi kali,Nimesikiliza ngoma nyingi za Dj Khaled pamoja na video nzuri...
Lakini nakili kwamba hakuna ngoma ambayo iliimbwa ikaizidi GOLD SLUGS.(mtazamo wangu) ngoma ambayo kawashirikisha Chris Brown,August Alsina na Fetty Wap..
Huyo August Alsina sijui kwanini Dunia inamchukulia poa tu...Inawezekana ni msanii pekee ambaye wakisimama kwenye ngoma na Chris Brown...Brown anajua nna mtu mkali kando yangu. Kwanza ile beats ya Gold Slugs sijui katengeneza nani[emoji119][emoji119] Mdundo mmoja mkali sana.
Kwenye Do u mind...Breezy alikimbizwa sana...Vp Hold u down?
Je ngoma gani kali kwa upande wako kutoka kwa DJ khaled...Kwangu GOLD SLUGS[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
NB:Network mbona imefanya nishindwe kupandisha video hiyo.
#forgive Me.