Nimeridhika sana na Projects za Dj Khaled

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Nimeshuhudia na kulizika sana na Projects za Dj Khaled...mala zote alitengeneza Album kali ambazo zilifika kwenye charts za juu za Billboard.

Zikafanya vizuri sana kwenye mauzo. amekuwa akishirikiana na wasanii wenye majina makubwa sana ambao walizivusha sana Projects zake DJ Khaled...

Kuna muda hatujui ipi kali zaidi je ni Hold you down au Do u Mind. achana na Am the one au I got a key. jamaa anahits kibao licha ya kutokuimba.

Ni makubaliano na malipo mazuri baina yake na wasanii kwenye projects zake. Alafu ngoma zinakuwa kwenye himaya yake hata tuzo zikibeba ni kwake bwana Dj. Point yangu nini? Nimeshuhudia ngoma nyingi kali,Nimesikiliza ngoma nyingi za Dj Khaled pamoja na video nzuri...

Lakini nakili kwamba hakuna ngoma ambayo iliimbwa ikaizidi GOLD SLUGS.(mtazamo wangu) ngoma ambayo kawashirikisha Chris Brown,August Alsina na Fetty Wap..

Huyo August Alsina sijui kwanini Dunia inamchukulia poa tu...Inawezekana ni msanii pekee ambaye wakisimama kwenye ngoma na Chris Brown...Brown anajua nna mtu mkali kando yangu. Kwanza ile beats ya Gold Slugs sijui katengeneza nani[emoji119][emoji119] Mdundo mmoja mkali sana.

Kwenye Do u mind...Breezy alikimbizwa sana...Vp Hold u down?

Je ngoma gani kali kwa upande wako kutoka kwa DJ khaled...Kwangu GOLD SLUGS[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

NB:Network mbona imefanya nishindwe kupandisha video hiyo.

#forgive Me.
 
Ila mimi naona asiimbe anaharibu..napenda namna anakutanisha wasanii kibao wanapiga kolabo za hatari ila yeye asiimbe kabisa yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule hana taste ya kuimba, naye kajijua ndo maana anakutanisha wakali wa flows, yeye ni kiitikio tyuuh
 
Nimeshuhudia na kulizika sana na Projects za Dj Khaled...mala zote alitengeneza Album kali ambazo zilifika kwenye charts za juu za Billboard.

Zikafanya vizuri sana kwenye mauzo. amekuwa akishirikiana na wasanii wenye majina makubwa sana ambao walizivusha sana Projects zake DJ Khaled...

Kuna muda hatujui ipi kali zaidi je ni Hold you down au Do u Mind. achana na Am the one au I got a key. jamaa anahits kibao licha ya kutokuimba.

Ni makubaliano na malipo mazuri baina yake na wasanii kwenye projects zake. Alafu ngoma zinakuwa kwenye himaya yake hata tuzo zikibeba ni kwake bwana Dj. Point yangu nini? Nimeshuhudia ngoma nyingi kali,Nimesikiliza ngoma nyingi za Dj Khaled pamoja na video nzuri...

Lakini nakili kwamba hakuna ngoma ambayo iliimbwa ikaizidi GOLD SLUGS.(mtazamo wangu) ngoma ambayo kawashirikisha Chris Brown,August Alsina na Fetty Wap..

Huyo August Alsina sijui kwanini Dunia inamchukulia poa tu...Inawezekana ni msanii pekee ambaye wakisimama kwenye ngoma na Chris Brown...Brown anajua nna mtu mkali kando yangu. Kwanza ile beats ya Gold Slugs sijui katengeneza nani[emoji119][emoji119] Mdundo mmoja mkali sana.

Kwenye Do u mind...Breezy alikimbizwa sana...Vp Hold u down?

Je ngoma gani kali kwa upande wako kutoka kwa DJ khaled...Kwangu GOLD SLUGS[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

NB:Network mbona imefanya nishindwe kupandisha video hiyo.

#forgive Me.
Gold slugs ndio best ya Dj Khaled ikifuatiwa na Body in motion,You stay na nyinginezo ulizozitaja..

Mimi nina playlist ya Dj khaled ya zaid ya nyimbo 50 kwenye simu yangu...Jeremy phillip Felton "Jeremiah",August Alsina na chris Brown

Hizi ndizo silaha za Dj Khaled hawa ndio huwa wanashape wimbo uwe vp ingawa pia kwa upande mwingine wa Dj khaled asilimia kubwa ya nyimbo zake huwa anasample nyimbo za zamani, mfano Do you mind ni sample ya Lil Jon featuring Usher na Ludacris wimbo unaitwa lovers and friends,ile na Rihanna ft Bryson Tiller "Wild thought " ni sample ya Maria maria ya Carlos Santana hit song ambayo vijana wa miaka ya 90 tuliruka nayo,Thankful kwenye album yake ya mwisho hii ni sample ya heat of the city ya jay z,sorry not sorry ni sample ya Jay z "song cry",Ile nyingine featuring Her and Migos "we going crazy ni sample ya shawty lo "Dey know",
 
Gold slugs ndio best ya Dj Khaled ikifuatiwa na Body in motion,You stay na nyinginezo ulizozitaja..mimi nina playlist ya Dj khaled ya zaid ya nyimbo 50 kwenye simu yangu...Jeremy phillip Felton "Jeremiah",August Alsina na chris brown hizi ndizo silaha za Dj Khaled hawa ndio huwa wanashape wimbo uwe vp ingawa pia kwa upande mwingine wa Dj khaled asilimia kubwa ya nyimbo zake huwa anasample nyimbo za zamani,mfano Do you mind ni sample ya Lil Jon featuring Usher na Ludacris wimbo unaitwa lovers and friends,ile na Rihanna ft Bryson Tiller "Wild thought " ni sample ya Maria maria ya Carlos Santana hit song ambayo vijana wa miaka ya 90 tuliruka nayo,Thankful kwenye album yake ya mwisho hii ni sample ya heat of the city ya jay z,sorry not sorry ni sample ya Jay z "song cry",Ile nyingine featuring Her and Migos "we going crazy ni sample ya shawty lo "Dey know",
You stay . We going crazy. Body in motion 🐐
 
Umetisha Kaka...huyo Alsina[emoji119][emoji119] Acha kabisa ni Mnyama kweli...Gold Slugs sijaona ngoma ya Dj kuizidi hiyo kwa Mimi lakini kwanza ile beats du..Fetty Wap ile flow ya kinyawezi hatari...
 
Back
Top Bottom