Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Ye kazi yake ni kulitbulisha jina lake tu katika kila wimbo utasikia Dj Khaled , we are the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple tu Jamaa haimbii mademu,drugs na alcohol.hivyo ndo huwa vinawapandisha sana wasanii huko majuu,Kama vile mziki wa bongo ukiimba ujinga ndo unatusua.august alsina ni msanii mkaliii sana na dunia imekubali ila nature inamkataa sijui kwa nn.....
inashangaza kuona hajafanikiwa kufika hata kidogo pick ya chris brown kimafanikio....
wengine wanadai ni ule ugonjwa wake wa macho ndo unamkwamisha sana but mbona ana hits nyingi sana na kali...
wengine wanadai ni ile skendo yake ya kudate mke wa muigizaji mkubwa mmiliki wa tuzo mbili za oscar (will smith) ndo ulimshusha sana na watu kuanza kuona dogo mafanikio yanamlevya kupitiliza sasa.....
Lakn mm sioni kama ni ishue mana kama ni maskendo wasanii wa marekani wengi tu wanayo makubwa kuliko hyo na bado wanapiga pesa ndreeefu kwenye mziki na sio wakali kumzidi yeye.
Jamaa anajua sana kuimba tena sana, na huwez skip kabisa playlist yake.....ana sauti ya ajabu hakuna mfano but nadhani ni nature ndo inamkataa..
hawezi kuwa kwenye ngoma ya dj khalid na hyo ngoma ikawa mbaya.
Kabisaaa.Do You Mind ni the best kwangu
Take It To The Head
I wanna Be With You
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ye kazi yake ni kulitbulisha jina lake tu katika kila wimbo utasikia Dj Khaled , we are the best
Yaan yule kaka sijui hata anakwama wapi, woiiiiiihaugust alsina ni msanii mkaliii sana na dunia imekubali ila nature inamkataa sijui kwa nn.....