Nimeridhika sana na Projects za Dj Khaled

Ye kazi yake ni kulitbulisha jina lake tu katika kila wimbo utasikia Dj Khaled , we are the best
 
Mm naielewaga I'm on one yupo na Drake,Lil wayne na Rick Rose
 
august alsina ni msanii mkaliii sana na dunia imekubali ila nature inamkataa sijui kwa nn.....

inashangaza kuona hajafanikiwa kufika hata kidogo pick ya chris brown kimafanikio....

wengine wanadai ni ule ugonjwa wake wa macho ndo unamkwamisha sana but mbona ana hits nyingi sana na kali...

wengine wanadai ni ile skendo yake ya kudate mke wa muigizaji mkubwa mmiliki wa tuzo mbili za oscar (will smith) ndo ulimshusha sana na watu kuanza kuona dogo mafanikio yanamlevya kupitiliza sasa.....
Lakn mm sioni kama ni ishue mana kama ni maskendo wasanii wa marekani wengi tu wanayo makubwa kuliko hyo na bado wanapiga pesa ndreeefu kwenye mziki na sio wakali kumzidi yeye.

Jamaa anajua sana kuimba tena sana, na huwez skip kabisa playlist yake.....ana sauti ya ajabu hakuna mfano but nadhani ni nature ndo inamkataa..

hawezi kuwa kwenye ngoma ya dj khalid na hyo ngoma ikawa mbaya.
 
Simple tu Jamaa haimbii mademu,drugs na alcohol.hivyo ndo huwa vinawapandisha sana wasanii huko majuu,Kama vile mziki wa bongo ukiimba ujinga ndo unatusua.
Benediction, Don't forget about me,Make it home, wouldn't leave etc.ngoma Kali tu Ila shida ni kaimbia mitaa.Mimi napenda sana music kuliko chochote katika vitu.na haipiti siku bila kusikiliza ngoma ya August Alsina,my favorite.
 
1. Welcome to my HOOD
2. I’m on One
3. Take it to the head
4

Nyimbo nyingi tu in no particular order.
 
hold you down kwangu ni bora zaidi ya zote, ila jeremiah na august alsina hawa jamaa wanatisha🙌🙌🙌🙌
 
august alsina ni msanii mkaliii sana na dunia imekubali ila nature inamkataa sijui kwa nn.....

inashangaza kuona hajafanikiwa kufika hata kidogo pick ya chris brown kimafanikio....

wengine wanadai ni ule ugonjwa wake wa macho ndo unamkwamisha sana but mbona ana hits nyingi sana na kali...

wengine wanadai ni ile skendo yake ya kudate mke wa muigizaji mkubwa mmiliki wa tuzo mbili za oscar (will smith) ndo ulimshusha sana na watu kuanza kuona dogo mafanikio yanamlevya kupitiliza sasa.....
Lakn mm sioni kama ni ishue mana kama ni maskendo wasanii wa marekani wengi tu wanayo makubwa kuliko hyo na bado wanapiga pesa ndreeefu kwenye mziki na sio wakali kumzidi yeye.

Jamaa anajua sana kuimba tena sana, na huwez skip kabisa playlist yake.....ana sauti ya ajabu hakuna mfano but nadhani ni nature ndo inamkataa..

hawezi kuwa kwenye ngoma ya dj khalid na hyo ngoma ikawa mbaya.
Yaan yule kaka sijui hata anakwama wapi, woiiiiiih
 
Back
Top Bottom