Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

I know ndo maana ni kakwambia kuwa sina hulka hizo..
Ila watu hawako na perspective hii hasa wakati wa kuleta hoja zao zenye pingamizi.
 
I don't. You shouldn't acted you knew me either
Revisit our PM na uhesabu how many months 've passed since our last chat

Yet for some reasons unanitag kwenye upuuzi with baseless accusations

Come on I don't even care about your existence much less sipo interested with your dramatic jf life

forget about me nifute kwenye ubongo wako as much as I did
 
And wtf umereplly kwenye huu uzi?

Usijifanye hujui uliichokifanya. Mbona nyie machoko huwa hamchoki? Can you jjustt keep doing dirty works silently
 
Huyu mpuuzi inaonekana BAN haijamrekebisha chochote. Napendekeza apewe LIFE BAN.
 
Kwa kweli inashangaza sana, ila vina mwisho, wengi walikuwa hivi sasa wamechoka na kuacha.
Mkuu shida nini?

Inamaana mtu akipigwa ban isiyo eleweka asije kusema jukwaani?

You have no autonomy to tell me what to write in here as long as I don't cross boundaries of anyone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…