Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Tafuta shuguli Mkuu ushauri wa bure au kama ndo hii then buni ikuingizie chochote, bahati mbaya attention hailipi humu.
Who said am looking for attention...
Na hata kama hailipi mbona you're so concerned?
 
Who said am looking for attention...
Na hata kama hailipi mbona you're so concerned?
Nkupe mfano unamona mshana jamaa ana manyuzi ya ulozi am sure kuna namna kageuza ikawa fursa kuwa dalali wa waganga πŸ˜‚ kina Lucas mwashwambwa na tlatlaah nasikia wanarushiwaga vocha za 20k kufanya uenezi! kua ata mwanasaikolojia bana unaupiga mwingi for nada?
 
Thanks and working on it..
 
Mwanaume bila ban jf huna tofauti na fimeli modereta mtiifu
 
Badilisha id weka "The returning of undertaker"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…