Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

jama!! 😵😵 siyo bure mkuu kucheza mziki ni haki yake kama anapenda lakini mswalike kwanini ajimwagie razi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mirror mirror on the wall........

Ila kioo sijui kinakuwaga na mashetani gani kuna mda unaweza kujikuta unafanya maajabu flani hiviiii... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tazama filamu inaitwa mirror na nyingine inaitwa oculus kwa kiasi fulani utapata jibu ya swali lako hapo....N.B ni horror films lakini.
 
Ndo kukaribishwa nyumbani kwenyewe! Ungevua na wewe nguo halafu ukampa support ya kucheza mziki!
Halafu wewe bado unaonekana ni mtoto mchanga katika maswala ya ndoa.
 
Mtoa mada acha ushamba..hiyo ni ishara kwamba mkeo alikuwa anataka umtie..
 
Next time na wewe unavua mnaanza kucheza ngoma inakuwa droo mchawi kamroga mganga
 
Back
Top Bottom