Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kuna uzi flani unazungumzia vituko ambavyo watu hufanya wakiwa wenyewe. Wanawake wengi walisema wana tabia ya kucheza wakiwa uchi. Cc kulwa Joanah
Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!
1. Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu gani utaskia. 2. Kuigiza kama unafanyiwa interview. Unajiuliza maswali kadhaa na kujijibu kwa kujiamini huku unatabasamu kana kwamba kuna mtu anakuona. 3...
Huu uzi?
Ama huu