Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Mwenyewe nachezaga uchi nikiwa peke angu, nikishapiga vitu vyangu, nawasha Sound bar yangu 1000W, basi utafikiri funia yangu yotee...

Acha kuwa kama roboti...
Furahia maisha kabla ya corona haijakubeba fala wewe
 
Wakuu kwema?

Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Unaishi na chizi
 
Mfuatilie kwa karibu sana huyo anaweza akawa na mengi anafanya ukiwa haupo
 
i know its strange. haswa kama hujawah kumkuta akifanya hiko kitu before.
so the best way ni kumuuliza kulikoni. hawa wanawake hawaeleweki sometimes man
Ni kawaida sana, na wewe ukimkuta wako anafanya hivyo wala usishangae..
Very normal.
 
Ulichelewa hukumkuta anavyojiangalia papuchi?
 
i am interested. why mnafanya hiyo kitu?
Kwakwel hata sijui, unajikuta tuu una-admire unavyojiona unakatika kwenye kioo, somehow satisfying especially kama unajikubali.
Au you can pretend uko na mtu wako then unafanya vile unamfanyia au kufanya in general then just laughing to yourself saying kumbe ndio ananionaga hivii.. basi tuu yani.
 
Nitumie namba zake nimfanyie uchunguzi kama ni chizi au laa,
 
Back
Top Bottom