Huyo ndio mwanamke sasa, kila siku anakupa surprise mpya mpya; sio kila siku ni hayo hayo tu. Remember mwanamke akikununulia chochote wala hua hakina impact kubwa kiviile kwetu wanaume cause vingi wanavyo tununulia, sisi ndio tunawapaga HELA, the only thing ni huo mwili wake, the good thing, kafanya akiwa peke yake tena chumbani na kafanya mida ambayo anajua muhusika wa mwili wake ndio anarudi from job(s). Kwa ufupi, hilo toto ni ni wife material, linakupa kitu kipya kila siku, yaani libunifu. Chizi asingefanyia hayo chumbani bhana