Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kawaida mkuu, wadada wengi hufanya hivyo wakiwa peke yaoIssue sio uchi wake..issue kubwa ni kukatika mauno uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo.
MhmhhKwakwel hata sijui, unajikuta tuu una-admire unavojiona unakatika kwenye kioo, somehow satisfying especially kama unajikubali.
Au you can pretend uko na mtu wako then unafanya vile unamfanyia au kufanya in general then just laughin to yourself saying kumbe ndo ananionaga ivii.. bas tuu yani.
ya kula chipsFafanua hamu ya nini
Chpis si nakununulia kila siku hiyo hamu haishi [emoji4]ya kula chips
Like wise, ukuta wa mbele chooni kwangu nimeweka likioo likuubwaa.... Pia kwenye gypsum juu nimeweka spika inatoa mziki (ila mtu hawezi kuiona). Yote haya ni kwa sababu nikiwa nakata gogo, naoga au napiga mswaki ndiyo muda ambao huwa napata new ideas au kutafakari changamoto zinazonikabili..... Na huwa hapakosi nice airfresher and other detergents...Acha kabisaa, mie hadi nimeweka kioo bafuni kwangu. Nikiwa naoga najiona mwili mzima.
Nisipokiwa makini naweza maliza lisaa lizima bafuni aahahahahaha.
Ulitakiwa na wewe uvue nguo ucheze nae. Ukileta u conservative kwenye swala la mapenzi utaachwa. Huyo mdada yupo level nyingine kimapenzi wewe umebakia kama level ya chudumuile. Mapenzi ni Sanaa inabidi vitu vipya na inahitaji hard working kitu chemistry. Kama ulikasirika hukumtendea vizuri na atakuacha wewe endelea na fikra za churaWakuu kwema?
Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.
Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Huyo mkaka yupo kama amphibiaUmeshangaa nini kuona uchi wa mke wako...
Kwani si kawaida yako?
Mkaka anacheza mchezo catch me if you canKaa nae chonjo huwenda alitegesha camera sehemu akijirekod ili amtumie mpango wa kando
Huu muda uliopoteza kuleta hii mada humu ungekuwa uko katikati ya mchezo, yaani hapo hapo mechi ilitakiwa ianze referee ni hicho kiooWakuu kwema?
Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.
Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Lisaa lizima!! Unapekenyua mashavu...Acha kabisaa, mie hadi nimeweka kioo bafuni kwangu. Nikiwa naoga najiona mwili mzima.
Nisipokiwa makini naweza maliza lisaa lizima bafuni aahahahahaha.
Like wise, ukuta wa mbele chooni kwangu nimeweka likioo likuubwaa.... Pia kwenye gypsum juu nimeweka spika inatoa mziki (ila mtu hawezi kuiona). Yote haya ni kwa sababu nikiwa nakata gogo, naoga au napiga mswaki ndiyo muda ambao huwa napata new ideas au kutafakari changamoto zinazonikabili..... Na huwa hapakosi nice airfresher and other detergents...
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Lisaa lizima !! Unapekenyua mashavu ...
Unaona sasa! Wewe wajuwa sana mambo, siyo mpaka aseme, matendo yake tu yanakuashiria uwajibike...unatuabisha wanaume aise...Vipi Ulimsukumiaa motoo akiwa umeshikaa dress table????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Shida ya kuwa na bwana anajikuta mshika dini ya dunia hayajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaona sasa! Wewe wajuwa sana mambo, siyo mpaka aseme, matendo yake tu yanakuashiria uwajibike...unatuabisha wanaume aise...