Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Mkuu fahamu kwamba yuko mazoezini hivyo mauno yasikutishe lingine binadamu yoyote ni mwehu katika mazingira yake binafsi yaani anapokuwa mwenyewe na anafahamu kuwa haonekani na kiumbe kingine chochote anafanya vya ajabu mno.
 
Huyu kilaza wa mwishoo kabisaaa... yani anashangaa mke wake kuchezaa uchiii aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ufala sana huu

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Wakati Mimi wife nikumkuta hata Yuko Jikoni anapika yuko uchi lazima ni mgonge hata kimoko, alafu ndiyo naendelea na mengineyo!!
 
Ushauri:
1. Yaonesha upo mbali na hisia za mwenza wako.
2. Jifunze kuburudika pamoja na wife wako(outing,shpping na dancing)
3. Mpe maneno mataamu na msifie sifie marakwa mara.
4. Mpelekee zawadi ktk munasaba (occasionally)
Utaona matokeo ya ndoa yenye kudumu na furaha..
 
Sio kichaa ilibidi umjoin mserebuke pa1 usiyafanye mapenzi kuwa serious sana
 
Siyo mbaya huenda alikuwa anafanya mazoezi, ulimuuliza kisa cha kufanya hivyo ni nini?
 
Ndiyo maana nawaonea huruma wanaume wanaosema mtoto mmoja anatosha,wengi siyo issue bila kujua kwamba mwanamke akisha kula na kunywa vizuri akawa hana cha kufanya anawehuka. Dawa ni kumkeep bize na watoto kama ni mama wa nyumbani
 
Issue sio uchi wake..issue kubwa ni kukatika mauno uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo.
Ukiwa unamgegeda huwa anakukatikia lakini? Asiwe anakikatikia kioo ila mb.o haikatikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…