Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Wakuu kwema?

Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Kwani kunakigeni kwa huyo mke wako
 
Wakuu kwema?

Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Unaishi na chizi. Hili ndiyo jibu sahihi.
 
Wakuu kwema?

Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Anamtuma clip kwa jamaa yake
 
Wakuu kwema?

Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Sasa mkuu maufundi yote anayokupa unadhani amekua malaika au? Mtt kila siku anazidi mautundu on bed unadhani anayajulia wapi? Unatoka mtoko na wyf somewhere unakuta anaicheza sukari kuliko Zuchu mwnyw, kila aina ya uchezaji anaijua na hujawahi mlipia popote kwa ajili ya mafunzo mkuu bdo huwi na walakini? Sio wanawake tu unakutana mzee mtu mzima na heshima zake na kitambi juu hujawahi thubutu ukimuona anacheza ila siku ukimuachia jukwaa anayarudi mayenu si mchezo unadhani ye ni alien? Itoshe kusema tu ni jambo la kawaida itakua ni hatari endapo tu atakua na mchezo wa kujirekodi ila kinyume chake ungempatia na zawadi mkuu
 
Back
Top Bottom