Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Most likely huyu mke alifanya kwa malengo maana mpaka jamaa anafika chumbani lazima kuna mishe nyingine ziliendelea nje kidogo, milango kabla ya huo wa chumbani kufunguliwa. Unless mchizi anaishi chumba kimoja (studio room), sebule na bedroom ndio hapo hapo [emoji4][emoji4]Sema najaribu kuvuta picha how strange it was,pale ulipomkuta na harakati zake za kuanza kuvaa nguo au kujifunika..au mkuu ilibidi ule mbususu yake?
Mkuu Zed unazo unitembezee moja niendelee kusogeza uzi?..ijumaa leo
Kama ni studio room si lazima angefunga mlango?..Most likely huyu mke alifanya kwa malengo maana mpaka jamaa anafika chumbani lazima kuna mishe nyingine ziliendelea nje kidogo, milango kabla ya huo wa chumbani kufunguliwa. Unless mchizi anaishi chumba kimoja (studio room), sebule na bedroom ndio hapo hapo [emoji4][emoji4]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Atueleze na mazingira ya hapo wanapoishi ili tuendelee kupembua vizuriKama ni studio room si lazima angefunga mlango?..
Jamaa atuambie ilivyokuwa
Na hivi kawaida kihome home wanashindaga na khanga moko tu, alichofanya ni kuitupia kule tu na kuongea kwa ishara kwamba na iwakeee. Sema ndio hivyo mwanetu kashindwa kunata na biti kasikia makelele tu hakuingiza vocalAlijua unarudi ndo maana akavua kabisa ili ufikie kula, badala yake unaleta post jf, bure kabisa.
Umetuangusha.
Kama Zote mkuu na kanovida chake uhakikaMkuu Zed unazo unitembezee moja niendelee kusogeza uzi?..ijumaa leo
Kukata viuno na practice zingine za mapenzi au kingono zilianza kuwepo kabla ya Porn kwanini leo mtu akifanya hivyo useme anaiga pornUyo ni muhuni,kuwa makini.
Mkataze mapema kuangalia porn kuna kitu anakitafuta.
Kaa nae chini umuulize anataka nini kisha uwe unampatia.
Thinking kubwa sana hiiKaribuba 80% ya wanawake wanapenda kujitazama maumbo yao kwenye vioo. Na ni lazma akatike kwa namna yoyote ile.
Kama ulikuta kajifungia wewe uliingiaje bila yeye kujua?.....Labda walikuwa na jamaa ikabidi aweke dramma ambazo umeingia moja kwa mojaWakuu kwema?
Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.
Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
akague chumba chote Vzr uckute kuna mjuba ame "chill"ki bad man😂😂i know its strange. haswa kama hujawah kumkuta akifanya hiko kitu before.
so the best way ni kumuuliza kulikoni. hawa wanawake hawaeleweki sometimes man
Kawaida mbona.Usiwe na wasi mkuu.Huku mwingizia Mkuyenge mkuu?.Wakuu kwema?
Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.
Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?