Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Je ungemkuta kajibinua anajamba bonge la shuzi usishangae kuna mtu either mwanasaisa unayemuona Smart sana na kumu Admire akiwa chumbani pekeyake anabinua tako na kujamba bonge shuzi 'Mpwopwooooo' alafu anasema 'Hiloooo' hapa tunapata maana ya privacy mtu akiwa pekeyake ni uhuru kamiri.
 
Aaahahahahahahahahhaaa

I see myself in her...

I love that life...

Self evaluation [emoji12], shurti raha kujipa mwenyewe

Sasa kasie unaanzaje kucheza ukiwa hivyo, je unafanya hivyo ukiwa umelewa au na akili zako timamu
 
Wakuu kwema?

Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Unaishi na chizi
 
Je ukiwa mnafanya tendo lile na akawa anakupa style ambazo hajawahi kupa awali utafanyaje? Mkeo anajifunza vitu vipya kukufurahisha, apo alikua anakata viuono kujiona kama anaweza
 
Mie huwa nainua sehemu zote zilizojificha najitazama .......

Manyonyo, love handles, makwapa ya juu na chini n.k.

Mara nyingine huwa nafanya sarakasi za ajabu tuu ....[emoji28] kioo kitamu sana.
Nimefunga machooo [emoji85]
 
Chunguza vizuri humo chumbani huwa wanajirekodigi alafu anatumiwa mwamba,,kuna lijamaa limeomba video akiwa anakatika utupu,,hapo keshatuma picha kaambiwa na video atume..[emoji28][emoji23][emoji23]
 
Wakati Mimi wife nikumkuta hata Yuko Jikoni anapika yuko uchi lazima ni mgonge hata kimoko, alafu ndiyo naendelea na mengineyo!!
Unamchosha mkeo na pilikishani za kamoja, yani umkute anapilika za jikoni unamlaa, hivi unajua uchovu wanaopata baada ya game wanawake hususani awe amekojoa, mimi huwa namsubiria ashibe awe kwa kitanda ndiyo nampelekea moto na akimaliza hapo analala masaa matatu bila kuinuka hata kwenda kuoga/kunawa, sasa wewe unamchosha mwenzako unamla halafu wewe unaenda kulala /kuangalia mpira/kucheza game mwenzio anaendelea kutaabika na upishi tuwaonee huruma wanawake kimtindo
 
Ungeendelea kugaua

Alikua anajirekodi video akutumie kajamaa kitaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa nkwambie kitu,wanawake karibia wote mpaka walokole,wavaa shungi 24/7 mpaka mabibi wana visket vifupi huvivaa na kujiangalia kwenye kioo au kupandsha nguo zao ndefu na kujiangalia kwenye kioo
 
Back
Top Bottom