Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Siku ukioa Mnyakyu ndio utajua nguvu ya uchi.
Yaani ukitaka kumpiga anakimbila chumbani anajirusha kitandani halafu anamanu....hasira zote zinakutoka ukiiona mbususu LIVE
Mkuu Hiki kitu kipo kweli au umehadithiwa?
Ndio wote wako hivyo au ni mmoja aliamua kufanya kituko?
 
Wakuu kwema?

Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Muache mkeo afurahie maisha, sasa mpaka kucheza mziki tena chumbani unaanzisha thread?
 
Kwenye maelezo yako hapa unasema umemkuta amejifungia chumbani,

Sasa kama kajifungia chumbani wewe ulimuonaje?
Au ulivunja mlango kwa ghafla

Au mmoja wenu akiwa hayupo huwa mnaacha mlango wazi?

Kama alikuwa kajifungia chumbani na ukagonga akakufungulia je huoni yeye mwenyewe ndiyo alikusudia umkute kwenye hali hiyo?

Shida iko wapi hapo?
Kumkuta uchi?
Au kucheza uchi?

Akijibu nitag mkuu
 
THE BEST WIFE IS THE ONE WHO CARE YOU LIKE A MOTHER IN THE MORNING, IN THE AFTERNOON SHE CARES YOU LIKE A STAR, AND IN THE NIGHT SHE PRAISE YOU LIKE A PROSTITUTE...
 
Back
Top Bottom