Imanshabaz
Member
- Aug 2, 2024
- 8
- 12
Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke.
Sifa ninazoziangalia.
Sifa ninazoziangalia.
- Awe mwislam.
- Asiwe mchaga.
- Mwembamba au mnene wastani.
- Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5” (1.67m).
- Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
- Awe tarari kupima.
- Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
- Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
- Muislamu.
- Mwembamba.
- Urefu 5.7” (1.7 m).
- Umri 40 yrs.
- Nina mtoto mmoja.
- Hardworking.
- Napenda maisha ya utulivu.