Nimerudi JF kutafuta mchumba

Nimerudi JF kutafuta mchumba

Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke.
Sifa ninazoziangalia.
  1. Awe mwislam.
  2. Asiwe mchaga.
  3. Mwembamba au mnene wastani.
  4. Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5” (1.67m).
  5. Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
  6. Awe tarari kupima.
  7. Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
  8. Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Mimi
  1. Muislamu.
  2. Mwembamba.
  3. Urefu 5.7” (1.7 m).
  4. Umri 40 yrs.
  5. Nina mtoto mmoja.
  6. Hardworking.
  7. Napenda maisha ya utulivu.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
Nenda manzese darajani nakuhakikishia utapata mke siku moja mahari kuku Tatu ndoa inafungwa
 
Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke.
Sifa ninazoziangalia.
  1. Awe mwislam.
  2. Asiwe mchaga.
  3. Mwembamba au mnene wastani.
  4. Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5” (1.67m).
  5. Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
  6. Awe tarari kupima.
  7. Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
  8. Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Mimi
  1. Muislamu.
  2. Mwembamba.
  3. Urefu 5.7” (1.7 m).
  4. Umri 40 yrs.
  5. Nina mtoto mmoja.
  6. Hardworking.
  7. Napenda maisha ya utulivu.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
Ka long distance kamenikosesha mume mwenzenuuu🥺
 
Mungu akujaalie ufanikiwe hitaji la Moyo wako, ila dada zangu wa kichaga jamni ohooo
Kiukweli mm nawapendaga sana ila kunammoja nakaa nae 😂😂😂ana kauli ngumu ndo naanza kuwajua Sasa japo sio wote wako hivo
 
Back
Top Bottom