Nimerudi JF kutafuta mchumba

Imanshabaz

Member
Joined
Aug 2, 2024
Posts
8
Reaction score
12
Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke.
Sifa ninazoziangalia.
  1. Awe mwislam.
  2. Asiwe mchaga.
  3. Mwembamba au mnene wastani.
  4. Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5” (1.67m).
  5. Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
  6. Awe tarari kupima.
  7. Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
  8. Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Mimi
  1. Muislamu.
  2. Mwembamba.
  3. Urefu 5.7” (1.7 m).
  4. Umri 40 yrs.
  5. Nina mtoto mmoja.
  6. Hardworking.
  7. Napenda maisha ya utulivu.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
 
sawa usijali utapata mume wa kukufaa..
 
Wewe ni ME au KE?
Hilo hukuliweka sawa
 
Wewe ni ME au KE?
Hilo hukuliweka sawa!
 
Mwenye watoto wanne mkuu nafasi yake ipo? Imagine unapata mke na watoto juu
 
Mungu akujaalie ufanikiwe hitaji la Moyo wako, ila dada zangu wa kichaga jamni ohooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…