Nimerudi JF kutafuta mchumba

Nenda manzese darajani nakuhakikishia utapata mke siku moja mahari kuku Tatu ndoa inafungwa
 
Ka long distance kamenikosesha mume mwenzenuuuπŸ₯Ί
 
Mungu akujaalie ufanikiwe hitaji la Moyo wako, ila dada zangu wa kichaga jamni ohooo
Kiukweli mm nawapendaga sana ila kunammoja nakaa nae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ana kauli ngumu ndo naanza kuwajua Sasa japo sio wote wako hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…