Karibu sana Gagurito,
pole kwa yaliyokukuta, yaliyopita si ndwele, tugange yajayo! Usivunje tena sheria za jf....jela sio kuzuri kabisa!
Happy new year!
Nani anayetoa ban?
Jaribu kubishana sana na kina Rejeo ndo utajua nani anayetoa ban
Jaribu kubishana sana na kina Rejeo ndo utajua nani anayetoa ban
Fuateni ushauri wa Sweetlady, kila unachoandika hapa, fuata sheria za JF! Rejao hana ubavu wa kukupa ban. Ban huwa unaitafuta mwenyewe!huyo rejao mwenyewe nimebishana nae juzi kule forum ya malalamiko,nkajikuta nakula ban.
Fuateni ushauri wa Sweetlady, kila unachoandika hapa, fuata sheria za JF! Rejao hana ubavu wa kukupa ban. Ban huwa unaitafuta mwenyewe!
Marhaba data!aaahaahhaaaa... The dude is right here.... Skamoo.
Karibu tena. Pole sana kwa yaliyokusibu. Hav a nice w.end!Sijui ni nin kilitokea bt akaunt yangu ilifungwa kwa muda wa siku 90 kufuatia moja ya mchango wangu jukwaa la siasa, nakumbuka REJAO ndio chanzo cha yote. Katika kipindi chote hicho sikuwezajua nini kinaendelea humu jukwaani, najutia sana kutokuwepo. Napenda kuwapongeza kwa kuuanza mwaka salama, kwa kuendeleza kijiwe na upendo miongoni mwetu! Nimerudi kwa kasi ya ajabu sana. tupo pamoja sasa. Kwa wale rafiki zangu napenda mnisamehe kwa yaliyojitokeza!!