Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
ban zimetawaliwa na gubu.
Usirudie tena karibu tena!
Usirudie tena karibu tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Helo wifi habari ya j2 msalimie brada.
Gagu karibu nimekumiss pia.
Blaki Womani, hivi kaka yako ni Kloro, cookie, bishanga, rejao ama nani? Manake huyu wifi yako siku hizi,mhh!
Uwiiiii mbavu zangu....lol. Mke mwenza ntake radhi kabla sijareport abuse!.Blaki Womani, hivi kaka yako ni Kloro, cookie, bishanga, rejao ama nani? Manake huyu wifi yako siku hizi,mhh!
J2 njema sana wifi angu... Mwaya usiwe unamsikiliza King'asti manake nimeona ana dalili za kutuchonganisha...Helo wifi habari ya j2 msalimie brada.
Gagu karibu nimekumiss pia.
Blaki Womani, hivi kaka yako ni Kloro, cookie, bishanga, rejao ama nani? Manake huyu wifi yako siku hizi,mhh!
J2 njema sana wifi angu... Mwaya usiwe unamsikiliza King'asti manake nimeona ana dalili za kutuchonganisha...
Kama Rejao n wifi yako hesabu KEKUNDU!
J2 njema sana wifi angu... Mwaya usiwe unamsikiliza King'asti manake nimeona ana dalili za kutuchonganisha...
Asante sana jembe, kwakua tayari ushampata dada yangu ujue ushanipata shemeji.
Naona unataka huu uzi wako upelekwe kwenye jukwaa la siasa halafu ukale ban nyingine tena.I am back with a BANG! This tym n jino kwa jino, tunaanzia ARUMERU MASHARIKI lazima utoe mimacho!