Nimerudi,Niliwamiss, Nawapenda sana!

Nimerudi,Niliwamiss, Nawapenda sana!

KAPIPI nilikumic sana! I thank God kifungo kimekwisha njema!

Hata mie nilimiss kuitwa Kapipi....lol!! Pole sana braza, naona ndo wanatuongezea kasi zaidi! Alafu bana pande hizi huku za kwetu naskia kuna makamanda waukweli.......SUGU & TUNDU LISSU, bahati mbaya mie afya hairuhusu ningeenda kuwacheck aisee!!
 
Huhuhuhuhu! Usijal jembe langu, uguza mwili, afya ikikaa poa mambo yatasonga!
 
Umeshanizoea nini wewe! Siwezi zoeana na mtu kama wewe! Take ur time!

Sijakuzoea wewe, nimekuzoea BAN bt kwa kiherehere chako mapovu yanakutoka! Muone alivyo!
 
Gagurito you are one of the members I missed,
Nimefurahi saana kukuona, ulipotea kweli kweli....
Kari
bu saana rafiki. Tulikumiss pia.
Pamoja Saana.
 
Huhuhuhuhu! Usijal jembe langu, uguza mwili, afya ikikaa poa mambo yatasonga!

Pamoja sana broda!! Alafu kuna watu uchokozi kwao sifa, so ukikutana na mtu anasugua kisigino we ruka post yake kama vile hujaiona kabisa!!
 
Back
Top Bottom