Gagurito you are one of the members I missed,
Nimefurahi saana kukuona, ulipotea kweli kweli....
Karibu saana rafiki. Tulikumiss pia.
Pamoja Saana.
huyo rejao mwenyewe nimebishana nae juzi kule forum ya malalamiko,nkajikuta nakula ban.
we hujalala mpaka saa hizi? Hebu come this way nikukague....kwani rejao ni mod?
Ni member tu wa kawaida! How is Mwanza?kwani rejao ni mod?