Nimerudi tena Baada ya Miaka 2 kwa changamoto za kusahau password, hili tatizo JF mlitizame.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo.
Kitu pekee nilichokua nacho kichwani ni Username tuu, kwa miaka yote nimekua nikijaribu kulogIn pamoja na kufanya recovery bila mafanikio.
Leo kwa bahati nzuri nimekaa from no where nikaharibu password ikakubali.

Ushauri: Kuna changamoto kubwa sana nadhani patafutwe namna mbadala kwa mtu kuweza kufanya recovery, kuna watu kukaa na simcard zaidi ya miezi sita ni ngumu.

Haya wadau hizi bluetick zinapatikana vip ? Najioja mgeni humu.
 
Kama hii yangu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…