HABARI
Wadau muwazima
Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi
niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina
Bujibuji Asprin Madame B snowhite Husninyo Mtambuzi KakaKiiza
Khantwe lady general na wengine wengi mpaka nimesahau majina aisee kitambo kwakweli mpogo kweli
wengine wamebadiilika na wengine hawako duniani hasa bestito
warumi (RIP BESTIE) nitakumiss sana hasa
NIMEFURAHI KUWEPO TENA NAWAKUMBUKA NA NIKO MJENGONI LETENI ISSUE
Wasalaamu
Mama mfundaji
Ladyf yuleyule asieye na mpinzani