Nimeruhusiwa Hospitali ya Milembe

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Nashukuru sana watu waliojitahidi kuwa na mie bega kwa bega wakati napata matibabu ya ugonjwa wa akili pale Hospital ya Magonjwa ya Akili Milembe, nikiwa nasumbuliwa na ugonjwa wa Bipolar Disorder. Ama kweli nimeweza kuhudumiwa vizuri na sasa nipo vizuri na naendelea poa.

Nilikuwa napata mood swing na dalili zingine za hovyo hovyo. Aisee asikuambie mtu magonjwa ya akili sio poa kabisa wakuu, ila bila kufungwa kamba siku ile sijui ingekuwaje! Ila nashukuru kushituka tu nipo Hospitali ya Milembe.

Na pale nimeweza kupewa dawa nyingi tu za kutosha, nashukuru niko poa kabisa.
 
Jana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya

Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...

Dah JF ina visanga

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wahuni sio watu wazuri
 
Machizi huwa hawaponi, wanapataga nafuu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…