Nimeruhusiwa Hospitali ya Milembe

Nimeruhusiwa Hospitali ya Milembe

Jana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya

Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...

Dah JF ina visanga

View attachment 2794253
daah aiseee mmaee khaa kumbe jamaa chiziii watu wakachangia uzi kwa hisiaaa kumbe majangaa
 
daah aiseee mmaee khaa kumbe jamaa chiziii watu wakachangia uzi kwa hisiaaa kumbe majangaa
Jamaa ni chizi kweli.. jana ulikuwa Magufuli Stand ukaibiwa 5m leo umeruhusiwa Mirembe Hospital [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya

Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...

Dah JF ina visanga

View attachment 2794253
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Nashukuru sana watu waliojitahidi kuwa na mie bega kwa bega wakati napata matibabu ya ugonjwa wa akili pale Hospital ya Magonjwa ya Akili Milembe, nikiwa nasumbuliwa na ugonjwa wa Bipolar Disorder. Ama kweli nimeweza kuhudumiwa vizuri na sasa nipo vizuri na naendelea poa.

Nilikuwa napata mood swing na dalili zingine za hovyo hovyo. Aisee asikuambie mtu magonjwa ya akili sio poa kabisa wakuu, ila bila kufungwa kamba siku ile sijui ingekuwaje! Ila nashukuru kushituka tu nipo Hospitali ya Milembe.

Na pale nimeweza kupewa dawa nyingi tu za kutosha, nashukuru niko poa kabisa.
Amen, Sifa na utukufu ni Kwa MUNGU Mwenyezi. Karibu ukamtumikie MUNGU katika KWELI na Haki
 
Jana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya

Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...

Dah JF ina visanga

View attachment 2794253
Au bado wahitaji doz
 
Nimeshangaa sana hujamshukuru mama Samia kama mgonjwa mwenzako wa akili Lucas mwashambwa alivyofanya baada ya kupona wazimu mirembe
 
Back
Top Bottom