Nimeruhusiwa Hospitali ya Milembe

Kwa hiyo huyu ni muongo. Hana cha kuandika. Anazusha tu hapa yasiyo na ukweli?. Ila awe na kiasi kujizushia tu ukichaa si muda anaweza kuwa kichaa kweli. Hizo pole za watu,wengine wanatoa pole kutoka moyoni kabisa,yaani ile pole ya na yeye kupata pain fulani. Sasa hizo pole za namna hiyo MUNGU anazihesabia fungu lake. Cheza na mambo mengine,hata kama huna kitu,usichezee sehemu za watu aina mbalimbali kama hizi
 
Inawezekana bado hajapona vizuri. Tuendelee kumwombea heri apone kabisa.
 
Nmecheka aisee
 
pole sana,ata mimi nilishawai kupata nikawa nachukua dawa amana!! inatisha,unakuwa na hali ya hofu bila sababu,kuna siku nilisafiri nikalala loji moja moro kuna baa hapo mahali,,nikanya bia za kutosha,nikaenda kulala,ghafla nikaamka{nilifikiri niko home manake naishi peke yangu,watoto wapo boading na wife tulishatengana},,sasa nikatoka mpaka nje nikiwa kama nyoka alivo{yaani empty},,,,,ile natoka nje nikastuka mbona wa2 wengi???....ndo akaja mdada wa mapokezi na mlinzi wakanishika mkono wakanirudisha chumbani yule mdada nilimkula!!!!!,,,aliambiwa kaaa nae umlinde inaelekea kalewa sana!!
 
Wewe lijamaa ni liongo sana [emoji3][emoji3]
 
Pole mkuu
Kikubwa hapa jukwaani epuka mawingu hoja za mwandamo wa mwezi kisaikolojia.....

Mungu akupe wepesi
 
Huna lolote. Hiyo ilikuwa mbinu ya kumla mhudumu kimasihara
 
Kwann wamekurhusu kurud mtaani
 
Yaani hayo alindika akiwa hospital,ila alihisi yupo Msamvu....nashauri apewe muda wa zaidi hapo hospital
 
Toka lini ugonjwa wa akili ni ukichaa? Hovyo kabisa mjinga mkubwa wwe
 
Waliokuruhusu kutoka wachukuliwe hatua mgonjwa kama wewe ulitakiwa uendelee kuwa chini ya uangalizi, maana Jana tu umeibiwa million3 Mbezi alafu Leo umeruhusiwa kutoka milembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…