Nimesababisha depression kwa mtoto wa watu

Mkuu mimi niliacha kutumia condom kitambo kidogo, sababu sipati stimu kabisa. Kuhusu kupima ni jambo la hiari hivyo huwa nampa taarifa mlengwa mapema sana ili kama hayuko tayari tuhairishe game.
Mimi nadhani kupima mara kwa mara ni njia mojawapo ya kujali afya yako.
 
Nyie ndo mnasababisha upotevu wa bidhaa za afya huko vituoni na kupelekea stock imbalances
Mkuu hivi vipimo mashirika kama ICAP wanagawa bure ndio maana vikaitwa self-test.
 
Ndo maana Samia alisema vijana mnatuangusha .kwa hiyo we ni mtumishi wa afya unakuja kumwaga data za mgonjwa hapa. Ujue unachunguzwa Ili upeoekwe panapokustahili
 
Ndo maana Samia alisema vijana mnatuangusha .kwa hiyo we ni mtumishi wa afya unakuja kumwaga data za mgonjwa hapa. Ujue unachunguzwa Ili upeoekwe panapokustahili
Mkuu mgojwa hutibiwa magettoni au hospitali? Ukisoma vizuri nilichoandika utaelewa.
 
Ungemgonga hata na condom angepata amani kidogo ulivyoacha ndio ulimuumiza zaidi
 
Nimempimia magettoni
Mzee
Mzee wa totozi katika ubora wako
 
Sensitivity ya oraquick iko juu zaid ya 90%. So,uyo manz hata akipima kwa conventional tests kuna chances kubwa ya kuwa positive.
 
Vipimo vyako siviamini
Nipe mawasiliano yake, nimtafute huyo mrembo maana umempa mawazo sana
 
Sijui ni Katika mazingira gani nitapima ukimwi!
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…