Nimesababisha kutosamehewa dhambi nimejamba wakati nikiungama mbele ya padri

Nimesababisha kutosamehewa dhambi nimejamba wakati nikiungama mbele ya padri

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua.

Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia.

Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
 
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nmeachia kiduchu duchu arufu ndo iliyoniumbua.

Ghafla nmeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia

Je nitakuwa nimesamehewa kwel?maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Kujamba si dhambi. Wala Padre hakutakiwa kuingilia kujamba kwako. Wote mliacha ya Ibada ya Maungamo ambalo ni swala la Kiroho na Kujikita katika Baolojia ya Mwili. Wote Mmtenda dhambi ya kufanya Maungamo Sanaa. Wewe nenda kaungame upya. Padre imekula kwakwe. Anatakiwa atafute padre mwengine ili aungame.
 
Ungama tu mkuu, hata watawa wanatambua kwamba kuna kupotoka wakati wa makuzi hata ikafukia kiwele kikawa kinapumuliwa..🙄🙄
 
Back
Top Bottom