Nimesababisha kutosamehewa dhambi nimejamba wakati nikiungama mbele ya padri

Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nmeachia kiduchu duchu arufu ndo iliyoniumbua.

Ghafla nmeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia

Je nitakuwa nimesamehewa kwel?maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Ahahaha... ni dhambi maana kiingiacho mwilini si najisi ila kitokacho ni najisiii..
 
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nmeachia kiduchu duchu arufu ndo iliyoniumbua.

Ghafla nmeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia

Je nitakuwa nimesamehewa kwel?maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Hehehe wee si haufi Leo unawazaje kizembe hivyo
Jipige Kifuani sema "A black Man doesnt Die in this Movie"
Then unasonga mbele kama Injili
 
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua.

Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia.

Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], nye, khakhakhakha!!!! Wacha nicheke tuu sina namna kabisa. Nenda kaungame kwa Mungu moja kwa moja, wala usingekutana na kadhia hiyo
 
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua.

Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia.

Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Unaonekana hakuna marinda uko nyuma
 
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua.

Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia.

Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.

Yesu ndo anasamehe, sijui kwa nini watu wenye akili timamu mnashindwa kuelewa hili
 
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua.

Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia.

Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Ila mnaoabudu sanamu, mna kazi sana.
 
Hivi dhambi anayesamehe ni mwanadamu au Mungu??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom