Nimesababisha kutosamehewa dhambi nimejamba wakati nikiungama mbele ya padri

Nimesababisha kutosamehewa dhambi nimejamba wakati nikiungama mbele ya padri

Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua.

Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia.

Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Usiwe mjinga kihivyo wewe dogo, HAKUNA binadamu duniani hapa anayeweza kukufutia wewe dhambi, never.
 
Back
Top Bottom