Kujamba si dhambi. Wala Padre hakutakiwa kuingilia kujamba kwako. Wote mliacha ya Ibada ya Maungamo ambalo ni swala la Kiroho na Kujikita katika Baolojia ya Mwili. Wote Mmtenda dhambi ya kufanya Maungamo Sanaa. Wewe nenda kaungame upya. Padre imekula kwakwe. Anatakiwa atafute padre mwengine ili aungame.Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nmeachia kiduchu duchu arufu ndo iliyoniumbua.
Ghafla nmeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia
Je nitakuwa nimesamehewa kwel?maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Dah!! Aise[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pole kwa kujamba mkuuDah!! Aise