M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #61
Wandugu nisaidien naaibika mwenzenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wandugu nisaidien naaibika mwenzenu
blessings lakini hebu tuwe wakweli kidogo hii post ni changa la macho (naomba radhi kama utakwazika)lakini naona kulikuwa na njia nyingi na za haraka zaidi za kuweza kuwasiliana na jamaa wa hotel!Nashukuru Ndg. Papushikashi
Kubwa zima ovyooooo kabisatuseme wadau hakuna aliyeokota hii pete jamani. maana hapo namnani wanadai hawakukuta kitu. inavyoonyesha huenda ilidondoka kwenye parking pale. Zawadi nono itatolewa. nimeiandika jina kwa ndani DEUS RWECHUNGURA
Hivi Namnani kuna kitu gani cha kuvutia mtu pale? Bora hata kibadamoKubwa zima ovyooooo kabisa
Dah! Watu mnajua kujitetea ili kuficha maasi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana...!kachonge tu nyingine hiyo Fanya umetoa sadaka
Ukiulizwa na Mrs.Blessing muambie nilichafuka vidoleni katika kunawa nkavua Pete Mara simu ikaita nikapokea sasa Pete nikiweka juu ya sinki nikaisahau hapo hapo!nikaondoka kuja kushtuka sina Pete!!
Nikarudi sikuikutaa[emoji3] [emoji3]
Nani ulimuona anaenda nayo bibie?Uoga wako tu wenzio mbona wanaendaga na pete zao.
Ndoa tamu bwana!!