Nimesahau pete NAMNANI HOTEL nikiwa mchepuko!

Nimesahau pete NAMNANI HOTEL nikiwa mchepuko!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana...!kachonge tu nyingine hiyo Fanya umetoa sadaka

Ukiulizwa na Mrs.Blessing muambie nilichafuka vidoleni katika kunawa nkavua Pete Mara simu ikaita nikapokea sasa Pete nikiweka juu ya sinki nikaisahau hapo hapo!nikaondoka kuja kushtuka sina Pete!!
Nikarudi sikuikutaa[emoji3] [emoji3]
Dah! Watu mnajua kujitetea ili kuficha maasi
 
ukuje utwambie mkuu, ila ipo siku ukweli utajulikana mkuu maana umeacha alama za kukamatwa nyingi sana
 
Back
Top Bottom