Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni mrefu.Nakuombeni ushirikiano ili kuweza kujenga Taifa letu na kuongeza ajira kwa watz.Nategemea kufikia mwanzoni mwa mwezi April mambo yote yatakuwa yamekamilika na kuanza kupiga mzigo.
Ruhazwe JR mkuu mambo yamechukua muda na gharama pia ,lakini hizo ni changamoto za mafanikio ya mbeleni.hongera sana,hii ni ndoto yangu.emu nimegee misukosuko uliyokutana nayo na changamoto
Ruhazwe JR mkuu mambo yamechukua muda na gharama pia ,lakini hizo ni changamoto za mafanikio ya mbeleni.
Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni mrefu.Nakuombeni ushirikiano ili kuweza kujenga Taifa letu na kuongeza ajira kwa watz.Nategemea kufikia mwanzoni mwa mwezi April mambo yote yatakuwa yamekamilika na kuanza kupiga mzigo.
Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni mrefu.Nakuombeni ushirikiano ili kuweza kujenga Taifa letu na kuongeza ajira kwa watz.Nategemea kufikia mwanzoni mwa mwezi April mambo yote yatakuwa yamekamilika na kuanza kupiga mzigo.
Hongera mkuu kwa hatua hiyo,
ukiwa unahitaji kupurchase vifaa used heavy duty machine kama excavator, crane,loader etc nitaarifu nikupatie huduma hiyo.
Nami nipo ktk construction industry ila upande wa kuuza used heavy duty machines
Isuue kubwa ipo kwenye kuestablish ofisi ili iweze kukaguliwa na kupewa registration mapema.Ukiweza kukidhi viwango vya kuwa assessed na zonal Manager na kukubaliwa HQ na msajili hana shida kabisa.Gharama ya awali ni pamoja na kuwa gari ya moja kama pICKUP au fuso na kuendelea, hivyo maandalizi ni muhimu.dah!vip mkuu kanga ,kuhusu cost unavyoona kadrio la chini inaweza ghalimu kiasi gani?na ikachukua muda gan?
Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni mrefu.Nakuombeni ushirikiano ili kuweza kujenga Taifa letu na kuongeza ajira kwa watz.Nategemea kufikia mwanzoni mwa mwezi April mambo yote yatakuwa yamekamilika na kuanza kupiga mzigo.
Kibongobongo hautakubalika ila kibotswana na namibia utarudi tajiri kule wabongo wanakubalika vibaya mno kuliko nchi yoyote halafu pesa yao nje nje
Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni mrefu.Nakuombeni ushirikiano ili kuweza kujenga Taifa letu na kuongeza ajira kwa watz.Nategemea kufikia mwanzoni mwa mwezi April mambo yote yatakuwa yamekamilika na kuanza kupiga mzigo.
Unachotakiwa sio kwenda Botswana au Namibia
Hiyo ni kwa uchache kwa wanaotaka kuingia Class V ndipo utakapokuja kukaguliwa ukitimiza vigezo utasubiri kupitishwa
- Vyeti vya CRB, Leseni, TIN
- Ofisi ya kueleweka sio ya mfukoni (yaani angalau uwe na Mkataba na mwenye jengo kwa kupanga si chini ya miaka miwili
- Uwe na Mfanyakazi mmoja mwenye Degree ya Civil au awe Shareholder
- Mahesabu ya Bishara na A/c hai ya Benki inayotambulika
- Gari angalau moja la kubebea mizigo au mchanga
- Mixer Concret, makole , kofia nk
- Kumbukumbu ya kazi uluzozifanya na kupewa Cheti wakati ulipokuwa madaraja ya chini