kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,025
- 494
Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni mrefu.Nakuombeni ushirikiano ili kuweza kujenga Taifa letu na kuongeza ajira kwa watz.Nategemea kufikia mwanzoni mwa mwezi April mambo yote yatakuwa yamekamilika na kuanza kupiga mzigo.