Nimesaka maandishi yote ya Nchimbi tokea 2007 kwenye Mitandano

Nimesaka maandishi yote ya Nchimbi tokea 2007 kwenye Mitandano

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Nimegundua
1. Anapowekwa pembeni ukaa kimya
2. Mwenzake akipatwa na Janga uumia na si mwepesi kudhihaki
3. Asilimia 70% ya mabandiko yake ni haki na amani
4. Misimamo kwa anachoamini
5. Hajawai tukana au kejeli mtu kwenye matatizo
6. Ila Mara nyingi wanambeza eti ni mshamba Hana Hela ya kuchangia matukio Muhimu uwezo wake ni vi laki laki vya kuchangia misiba na harusi

CCM Mtu wa namna hii hawamtaki,

Sasa kuna wanaomkejeli sasa! Wakati wao ukifika tutaleta kumbykumbu,
Britanicca
 
Hii inaonyesha jinsi gani watu walivyo malimbukeni na walivyo ma pocket watchers.

Watu washamba ndo hufanya michango ya hiari kuwa maonyesho na mashindano.

Ufala mtupu.

“6. Ila Mara nyingi wanambeza eti ni mshamba Hana Hela ya kuchangia matukio Muhimu uwezo wake ni vi laki laki vya kuchangia misiba na harusi.”
 
Yes
 
Back
Top Bottom