Sidhani kama amewahi kupata hela nyingi kwenye siasa za Tanzania, ninavyomuelewa sio mtu fisadi, au huenda hajapata nafasi ya kufisadi.Ndugu zake nao wanamlalamikia hawasaidii, ela zake sijui anapelekaga wapi
Hii ni siasa mpya Tanzania? Ya kushughulikiwa? By the way, amekosa nini? na amemkosea nani? Kuwa muwazi.Ndiyo Muelewe yoyote aki mess up anashughulikiwa CHADEMA si mlipanga rescue mission za TAL mlifikia wapi? Mpaka leo anaozea Mahabusu.
He is against his oath na Kudharau Mamlaka ya Rais soon ataonekana Kisutu pale alinyakuliwa kama KibakaHii ni siasa mpya Tanzania? Ya kushughulikiwa? By the way, amekosa nini? na amemkosea nani? Kuwa muwazi.
Wengi wanaoshadadia amedharauHe is against his oath na Kudharau Mamlaka ya Rais soon ataonekana Kisutu pale alinyakuliwa kama Kibaka
Sahihi kabisa, na yupo salama kiafya?...na ni kweli kwamba hapatikani kwenye simu?..kwanini?..kama ni mhalifu lini atapelekwa Mahakamani?..haki zake za msingi kama kupatiwa Wakili, zimezingatiwa?...Ishu yupo wapi?
Kwani huko ccm mtu anatoa mchango wa laki 3, laki 5 au laki 8 kwenye shughuli zao anakuwa hana faida!6. Ila Mara nyingi wanambeza eti ni mshamba Hana Hela ya kuchangia matukio Muhimu uwezo wake ni vi laki laki vya kuchangia misiba na harusi
ww jamaa ww juzi umesifiwa humuHe is against his oath na Kudharau Mamlaka ya Rais soon ataonekana Kisutu pale alinyakuliwa kama Kibaka
Huu ni mchezo japo umewahi mapema sana mkuu.ila waku hizi haziwezi kua mbinu mkakati za ccm kufufuka 2030? katika mizania ya conspiracy ..
Hofu yangu ni ccm kufufuka kwa namna hii, tutakua tumerudi palepaleHuu ni mchezo japo umewahi mapema sana mkuu.
Wanaandaa mtu wao 2030 kuwalaghai watanganyika.
Nimegundua
1. Anapowekwa pembeni ukaa kimya
2. Mwenzake akipatwa na Janga uumia na si mwepesi kudhihaki
3. Asilimia 70% ya mabandiko yake ni haki na amani
4. Misimamo kwa anachoamini
5. Hajawai tukana au kejeli mtu kwenye matatizo
6. Ila Mara nyingi wanambeza eti ni mshamba Hana Hela ya kuchangia matukio Muhimu uwezo wake ni vi laki laki vya kuchangia misiba na harusi
CCM Mtu wa namna hii hawamtaki,
Sasa kuna wanaomkejeli sasa! Wakati wao ukifika tutaleta kumbykumbu,
Britanicca
Ndiyo Muelewe yoyote aki mess up anashughulikiwa CHADEMA si mlipanga rescue mission za TAL mlifikia wapi? Mpaka leo anaozea Mahabusu.
Matatizo yanaanzia kwenye mambo ya namna hii.Nimegundua
1. Anapowekwa pembeni ukaa kimya
2. Mwenzake akipatwa na Janga uumia na si mwepesi kudhihaki
3. Asilimia 70% ya mabandiko yake ni haki na amani
4. Misimamo kwa anachoamini
5. Hajawai tukana au kejeli mtu kwenye matatizo
6. Ila Mara nyingi wanambeza eti ni mshamba Hana Hela ya kuchangia matukio Muhimu uwezo wake ni vi laki laki vya kuchangia misiba na harusi
CCM Mtu wa namna hii hawamtaki,
Sasa kuna wanaomkejeli sasa! Wakati wao ukifika tutaleta kumbykumbu,
Britanicca
Wewe unajuwaje haya!Kwisha habari yake
Tupe tetesi kaka 😄