britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kwisha habari yakeSawa. Ngoja tusubiri tuone kama kweli ni yeye mwenyewe ndiyo ameamua kukaa kimya, au kuna jambo nyuma ya pazia ambalo wengi hatulifahamu.
Muda utaongea.Sawa. Ngoja tusubiri tuone kama kweli ni yeye mwenyewe ndiyo ameamua kukaa kimya, au kuna jambo nyuma ya pazia ambalo wengi hatulifahamu.
Uzuri mnaanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe. Kwa hiyo hakuna tatizo.Kwisha habari yake
YesHii inaonyesha jinsi gani watu walivyo malimbukeni na walivyo ma pocket watchers.
Watu washamba ndo hufanya michango ya hiari kuwa maonyesho na mashindano.
Ufala mtupu.
“6. Ila Mara nyingi wanambeza eti ni mshamba Hana Hela ya kuchangia matukio Muhimu uwezo wake ni vi laki laki vya kuchangia misiba na harusi.”
Bahati nzuri hawata muuaMungu asimsahau!
Bahati nzuri hawata muua
Hana mapato ya wizi ya kuwaridhisha kwa yoteNdugu zake nao wanamlalamikia hawasaidii, ela zake sijui anapelekaga wapi
Hao ndugu nao ni washamba wanaingia kwenye kundi alilotaja Nyani Ngabu.Ndugu zake nao wanamlalamikia hawasaidii, ela zake sijui anapelekaga wapi
Ishu yupo wapi?