Nimesaka maandishi yote ya Nchimbi tokea 2007 kwenye Mitandano

 
Matatizo yanaanzia kwenye mambo ya namna hii.

Taarifa kama hizi ndizo mngeziweka mbele, hata kabla ya misukosuko iliyompata, ili watu waweze kumjuwa vizuri.

Wewe uliyedai humu humu mnafahamiana hadi kwenye m"mahoteli", ulipashwa kuleta taarifa za aina hii mbele ya yote.

Sasa wala hatujui yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…