NIMESALITIWA nisaidieni

huyu akirudi atakuwa na aidii mpya!(huu ni uzoefu niliokuwa nao kwa watu wengi waliojaribu kuwaattack WAPWA,na mabinamu😀)

i can't wait to see the GAY coming back


nipo nawachora tuu.

hasa wewe geoff ntakupotezea.

naweza mpigia simu invisible akufungie maisha humu.
 
NIPIGIE uisikie sauti yangu!.....

@Geoff:tatizo lako una mdomo sana;hata shule hujaenda wewe.
@chrispin:Nimeamini wewe shoga.
@bht:angalia vizuri utaolewa siku si zako:toa ushauri si kuropoka tuu.
@George_Porjie:hapotezewi mtu hapa:kama vipi anza mbele kama hutaki kushauri au kuwa demu wangu;
@Mgombea Ubunge:asante sana;
 
piga simu kwa invizibo sasa!......
mimi shule ya nini wakati nina hela ya kukuweka kijumba gesti kubwa tu hapa mjini kwa wiki tattu mfululizo
 

lunatic umerudi cafe tena??? nani kakulipia??
 
MZEE PENGINE KWENYE 6x 6 wewe ni KILAZA. SASA NENDA KWA MAMA TERY Unguja au Pemba ukafundishwe kuingiza mchi kwenye kitu na namna ya kutwanga unga uwe LAINI. Unajua usiwe MJINGA WA KULIA hebu jiulize WEWE NADHANI NDIYO TATIZO.

AU MZEE UKISHAPANDA MLIMA MARA MOJA TENA KWA KULAZIMISHA BAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSSSSIIIIIIIIIIII. HUINUKI TENA, WALALA KA PONO.

WASCHA WEYE

AU NENDA KWA SHEKHE YAHAYA AU KWA PROF. KIFIMBOCHEZA AKAKUTIBU.

AMA SIVYO UTAKIMBIWA MZEE.

SIKU HIZI HUWEZI KUPATA M/MKE AMBAYE HAJAFANYA TENDO HILO.

SASA UKIMCHUKUA AKIWA KWENYE 6 X 6 ANAONA UNAMPAPASA TU HAKUNA HATA MUWASHO

OOHHHOOOOOOOOOOO ANAKUKIMBIA WEWE.
 
Sasa hapo unaomba msaada tena wakati jibu unalo tayari?
Huyo hata kama uwe bill dirisha nini gate hakufai hata kwa kulumangia.
 

Mkuu kuwa makini naona umeiga kwa mkuu wajamvi asiye ona kuanzia jina umekwepesha kidogo lakini umechukua ka avatar kake kwa kwenye signature haka hapa.

Kwa nn usitafute Avatar ingine au unashindana na Invisible?


Duu fidel kwa kupiga bit tu unatisha
 
huyu aliyeileta hii sredi anatafuta ukorofi tu na mapovu hapa
 
Unatakiwa kuangalia mbele,maisha hayasimami yanasonga mbele. ni wengi wamepata mikasa kama hyo, wameendelea na maisha.
 
Kwanza sababu yako ya kumfuma dem wako wa kwanza haina nguvu,hii ni sababu inayotumiwa sana na womanizer, pili mapenzi sio VX n what soever it just how mnaweza kutimiziana haja zenu (in general)...kufikia hapa nikitumia sense yangu ya spear nalazimika kufikiri una taztizo!...sio kubwa but lipo!
 
Lithread linyewe la zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Hata LD haijazaliwa humu JF.
 
Lithread linyewe la zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Hata LD haijazaliwa humu JF.

duh! Nilikuwa sijaona.
Wengine hata dalili za kuzaliwa humu jf hazikuwepo.
 

MARKET FORCE is the only engine in the capitalist love! move ahead man
 

Mh! Ipo kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…